Nyumbani » 01/04/2013 Entries posted on “Aprili 1st, 2013”

Hatua ya kutoa huduma ya maji safi zaendelea nchini Kenya

water-2

Wakati malengo ya milenia yakifikia kilele chake mwaka 2015, nchi mbalimbali zina pilika za kukamilisha malengo hayo mojawapo ikiwa ni huduma ya maji. Kwa mujibu wa kitengo cha uchumi wa maendeleo ya jamii cha umoja wa mataifa UNDESA katika nchi zilizoko kwenye ukanda wa jangwa la Sahara zaidi ya robo ya wakazi wake hutumia zaidi [...]

01/04/2013 | Jamii: Mahojiano, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Homa ya mafua ya ndege yagundulika China

Kusikiliza / WHO LOGO

Shirika la afya duniani, WHO limeripoti kupatikana kwa wagonjwa watatu wa homa ya mafua ya ndege aina ya H7N9 nchini China. WHO imesema imepokea taarifa kutoka Tume ya afya na kupanga familia nchini humo ikieleza katika maabara za China kuthibitisha ugonjwa tarehe 29 mwezi uliopita ambapo wagonjwa wawili wanatoka jimbo la Shanghai na mmoja Anhui. [...]

01/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

MONUSCO yahifadhi wakimbizi waliokimbia mapigano Kitchanga

Kusikiliza / monusco

Walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC wamesaidia kuwapatia hifadhi wakimbizi wa ndani wapatao 1,500 waliokimbia kufuatia mapigano mapya kati ya majeshi ya serikali na vikundi vyenye silaha huko Kitchanga, Mashariki mwa nch hiyo. Eduardo del Buey kutoka ofisi ya msemaji wa Umoja wa Mataifa amekariri ujumbe wa [...]

01/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNESCO na washirika kukuza matumizi ya kemia.

Kusikiliza / unesco-logo

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni , UNESCO, kampuni moja ya nchini Urusi PhosAgro na taasisi ya kemia IUPAC zimetia saini makubaliano ya kushirikiana katika mradi wa kuendeleza wanasayansi chipukizi wanaofanya utafiti mbalimbali kwa kutumia teknologia ya kemia katika nchi zinazoendelea. Mradi huo unaoelenga kuchochea matumizi ya kemia yanayohifadhi na kulinda [...]

01/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban apongeza mfumo wa utawala San Marino

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ambaye ameanza ziara barani Ulaya yuko San Marino ambako leo ameshiriki hafla maalumu ya kuwasimika Marais wawili wanaoongoza nchi hiyo kwa pamoja kwa kipindi cha miezi Sita. Hiyo ni kwa mujibu wa mfumo wa demokrasia ya taifa hilo ambapo Ban amesema mfumo huo unadhihirisha ya kwamba [...]

01/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kikao cha tume ya kudhibiti silaha za nyuklia chaanza

Kusikiliza / Angela Kane

Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya kuondokana na silaha za nyuklia Angela Kane amezungumza katika kikao cha Tume ya kutokomeza silaha hizo na kusema ukosefu wa kuaminiana unakwamisha upatikanaji wa amani na ulinzi wa kudumu duniani. Bi. Kane amesema hali hiyo ni jambo linaloibua mizozo Mashariki ya Kati, Asia [...]

01/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban azungumza kwa simu na Uhuru na Odinga

Kusikiliza / Bendera ya Kenya

Umoja wa Mataifa utaendelea kusaidiaKenya,  na kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ban Ki-Moon baada ya Mahakama Kuu nchini humo kutoa uamuzi wa pingamizi la uchaguzi mkuu uliobainisha kuwa ulikuwa huru na wa haki. Bwana Ban alitoa ujumbe huo alipoongea kwa njia ya simu na Uhuru Kenyatta akimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya huku [...]

01/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu mpya wa UNAMID aanza kazi Sudan:

Kusikiliza / Mohamed Ibn Chambas

Mkuu mpya wa mpango wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika kulinda amani Dafur UNAMID Mohamed Ibin Chambas amewasili Khartoum kuanza majukumu yake. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Mkuu mpya wa kikosi cha pamoja cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa na Muungano wa nchi za Afrika UNAMID Mohamed Ibn Chambas amewasili mjini Khartoum kuanza [...]

01/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM walaani mashambulizi ya kupangwa Iraq

Kusikiliza / Martin Kobler

Nchini Iraq mashambulizi ya kuvizia yameendelea kutokea na kusababisha vifo na majeruhi ambapo Umoja wa Mataifa umetoa kauli kamaanavyoripoti George Njogopa. (SAUTI YA GEORGE) Maafisa wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq wameshutumu vikali tukio la mashambulizi ya kupangwa yaliyotekelezwa Mjini Baghadad na eneo la kaskazini mwa mji waKirkukambako watu kadhaa walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa. [...]

01/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031