Watoto walindwe dhidi ya ukatili wa kingono

Kusikiliza /

Marta Santos Pais

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watoto, Marta Santos Pais amesema katika nchi zaidi ya80 duniani hivi sasa kuna ajenda za kudhibiti ukatili dhidi ya watoto, zaidi ya nchi 30 zina sheria za kulinda ukatili huo na kuna ongezeko la tafiti za kubaini ukubwa wa tatizo.

Hata hivyo amesema licha ya kasi hiyo, bado kuna changamoto. Wakati Marta akisema hayo mjini Geneva, hapa mjini New York, mtoto Hakima kutoka Uganda, ambaye anahudhuria mkutano wa Tume ya hadhi ya Wanawake, amekuwa akiielezea Redio ya Umoja wa Mataifa kuhusu dhuluma wanazokumbana nazo

(SAUTI YA MSICHANA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031