Ubunifu uende sambamba na ulinzi wa hakimiliki: WIPO

Kusikiliza /

Washiriki wa mkutano wa WIPO jijini Dar es salaam, Tanzania

Wataalamu wa haki miliki pamoja na viongozi wa serikali kutoka zaidi ya nchi 20 barani Afrika leo wamehitimisha mkutano wao wa siku tatu jijini Dar es salaam na kutoa wito wa kuundwa sera na sheria kwa ajili ya kukabiliana na wimbi la wizi wa haki miliki.   Mkutano huo ambao pia ulishirikisha baadhi ya wataalamu kutoka nchi za Ulaya, uliandaliwa kwa ushirikiano wa pamoja baina ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na haki miliki (WIPO) na serikali ya Tanzania. George Njogopa na taarifa zaidi

(SAUTI YA GEORGE)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031