Surua yatishia usalama wa watoto DRC Kongo,UNICEF yasaidia

Kusikiliza /

wakimbizi wa DRC

Mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC pamoja na mambo mengine yametajwa kukwamisha jitihada za kukabiliana na hatimaye kudhibiti ugonjwa wa surua hususani mongoni mwa watoto.Hii inatokana na kwamba mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi yamesababisha watu kukimbia makazi yao na kuishi katika makzi yenye msongamano .Jitihada za kutoa chanjo zinakwama! Hata hivyo katika kuwanusuru Shirika la Umoja wa Mataifa la kiuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikiana na wizara ya afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na washirika wameanzisha kampeni maalum ya kinga dhidi ya surua kwa watoto katika eneo la Mashariki mwa nchi hiyo.Je mpango huo ni upi? Basi ungana na Joseph Msami kwa undani zaidi.

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031