Mtaalamu wa UM aonya ongezeko la uvunjifu wa haki za binadamu Iran

Kusikiliza /

Ahmed Shaheed

Mtaalamu maamlum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ahmed Shaheed ametoa tahadhari kuhusu idadi ya tuhuma na taarifa anazoendelea kupokea kuhusu hali ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini humo akitaka hatua za haraka zichukuliwe. Joseph Msami na maelezo zaidi.

(SAUTI YA JOSEPH)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Septemba 2014
T N T K J M P
« ago    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930