Maelfu ya wakimbizi wakwamuliwa Myanmar

Kusikiliza /

Nchini Myanmar

 

 

 

 

 

 

 

 

Baada ya machafuko ya muda mrefu katika jimbo la Kachin nchiniMyanmar,Umoja wa Mataifa umefanikwa kuwakwamua maelfu ya wakimbizi wa ndani kwa kuwajrngea kambi salama za muda.

Misaada hiyo inafuatia ziara iliyofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya wakimbizi na misaada ya kibinadamu,chakula na watoto yakiwemo UNHCR, WFP.UNICEF na OCHA, ambapo wamefanikiwa kuwakwamua familia 400 za wakimbizi wa ndani .

Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi UNHCR Andrian Edrwards amesema timu hiyo ilikuta msongamano mkubwa wa katika kambi za wakimbizi hivyo  kulazimiak kuchukua harua hizo ikiwamo kuwapatia huduma za afya na maji.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031