Kesi ya Ntaganda kuanza kusikilizwa Septemba 23 mwaka huu

Kusikiliza /
ICC

ICC

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imetangaza tarehe 23 mwezi Septemba kama siku ya kuanza kusikilizwa kwa kesi inayomkabili mtuhumiwa wa kivita nchini Jamhuri ya Kedomrasi ya Congo DRC Bosco Ntaganda.

Wakati wa kufikishwa mahakamani mara ya kwanza makaka ya ICC ilimtambua Ntaganda na kumfahamisha kuhusu mashataka yanayomkabili na haki zake chini ya makubaliano ya Roma.

(CLIP YA AFISA WA ICC)

"Kikao cha kwanza cha mahakama kilitangaza kuwa kuna ushahidi unaoonyesha kuwa bwana Ntaganda amehusika kwa uhalifu wa kivita ufuatao wa kivita.Uhalifu wa kuwaingiza watoto walio chini ya miaka mitano kwenye jeshi  wa kuwafanya kutenda uofu. Mauaji, ubakaji na uvamiuzi dhidi ya raia na utekaji nyara vyote vikiwa ni uhalifu wa kivita."

Taarifa zaidi na George Njogopa

(RIPOTI YA GEORGE)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930