Nyumbani » 29/03/2013 Entries posted on “Machi 29th, 2013”

Mkataba wa kudhibiti biashara ya silaha wakwama, Ban asikitishwa

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha wajumbe mkutano wa mwisho wa mkataba wa kimataifa wa biashara ya silaha duniani kushindwa kuafikiana juu ya rasimu ya mkataba huo. Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wa Katibu Mkuu siku ya Alhamisi ambayo ilikuwa siku  ya mwisho ya mashauriano hayo mjini [...]

29/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wawaenzi waathiriwa wa Utumwa kwa tamasha la muziki

Kusikiliza / slavery-montage

Tarehe Ishirini na tano Machi ni Siku ya Kuadhimisha Utumwa na Biashara ya Utumwa ya Atlantiki. Na mapema wiki hii Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilifanya hafla maalum ya kuwakumbuka na kuwaenzi waathirika wa utumwa na biashara ya utumwa. Miongoni mwa mfululizo wa matukio ya kumbukumbu hiyo, liliandaliwa tamasha la muziki kwenye ukumbi wa [...]

29/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930