Nyumbani » 27/03/2013 Entries posted on “Machi 27th, 2013”

Ban ziarani Ulaya Jumamosi

Kusikiliza / Katibu Mkuu UM

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon anatarajiwa kuondokaNew yorkjumamosi hii  kuzuru nchi tano barani Ulaya ambako atazungumzia malengo ya maendeleo ya millennia (MDGS), silaha za kemikali na mahakama za UM Ziara hiyo inajumuisha nchi tano ikiwemoSan Marino,Andorra,Monaco,Uhollanzi na Uhispania atakapo zindua kubakia kwa siku 1000 kufikia kilele cha utekelezaji wa Malengo ya millennia [...]

27/03/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mapigano huko Jonglei yasababisha watu kukimbilia Kenya umesema UM

Kusikiliza / Martin Nesirky

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu misaada ya kibinadamu imesema mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali ya Sudan Kusini na vikundi vyenye silaha huko Jonglei yamezidi kuathiri maisha ya wakazi wa eneo hilo. Msemaji wa Umoja wa Mataifa, Martin Nersiky amewaambia waandishi wa habari kuwa kuzorota kwa usalama hususan kwenye maeneo ya barabarani [...]

27/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Viongozi wawili wa zamani wa Bosnia Herzegovina wafungwa miaka 22 jela

Kusikiliza / Mićo Stanišić na Stojan Župljanin

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu uliofanyika kwenye iliyokuwa Yugoslavia, ICTY huko The Hague, imewahukumu kifungo cha miaka 22 jela maafisa wa zamani wa ngazi ya juu wa Bosnia, Mićo Stanišić na Stojan Župljanin. Wawili hao wamepatikana na hatia ya kutenda makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu kati ya mwezi Aprili na Disemba mwaka 1992 huko Bosnia-Herzegovina. [...]

27/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNICEF yaimarisha afya za watoto Guaetamala

Kusikiliza / Anthony Lake

Shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia watoto UNICEF linaendelea na mipango ya kunusuru watoto katika huduma muhimu za ijamii kama vile afya na  elimu. Shirika hilo linaendesha miradi ya watoto kwa  nchi zaidi ya 150 duniani kwa kushirikiana na washirika katika sekta mahususi. Nchini Guatemala UNICEF inaratibu mpango wa kuimarisha afya za watoto ambapo [...]

27/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Sierra Leone yaishukuru UM kwa kuunga mkono juhudi za amani

Kusikiliza / Bendera ya Sierra Leone

Serikali ya Sierra Leon imetoa taarifa ikizishukuru taasisi za kimataifa ikiwemo utendaji kazi wa Umoja wa Mataifa ambao umesaidia pakubwa ustawi wa taifa hilo Balozi wa Sierra Leone kwenye Umoja wa Mataifa  Shekou Touray, amesema kikosi maalumu  cha kimataifa kilichopo nchini humo kwa ajili ya ulinzi wa amani, kimesaidia pakubwa ujenzi wa maridhiano.Mapema siku ya [...]

27/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wataka kupitishwa mkataba wa udhibiti wa silaha

Kusikiliza / Irene Ado Torshie

Makundi ya wabunge duniani kote wametoa mwito kufikiwa makubaliano juu ya mkataba wa udhibiti wa biashara ya silaha, katika wakati ambapo viongozi kutoka pande mbalimbali wakitarajia kuanza kukutana hapo alhamisi kwa ajili ya kujadilia kama kuwepo makubaliano ya pamoja juu ya kufikiwa kwa mkataba huo au la. Mmoja wa wabunge hao Irene Torshie kutoka nchini [...]

27/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ubaguzi hauna nafasi dunia ya leo amesema Dkt. Bana

Kusikiliza / Baraza Kuu

Mapema wiki hii Baraza kuu la Umoja wa Mataifa lilifanya hafla maalum ya kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya waathirika wa utumwa na biashara ya utumwa ya bahari ya Atlantiki, ambapo akizungumzia minajili ya biashara hiyo, mchambuzi wa siasa za kimataifa, mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha Dar es salaam idara ya Sayansi ya [...]

27/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Vijana wanaweza kusaidia kukabiliana na changamoto za sasa duniani,Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Matifa Ban Ki- moon amezungumza katika kongamano la vijana kuhusu ushauri wa kiuchumi na kijamii na kusema licha ya changamoto wanazokabiliana nazo vijana wana fursa ya kuleta mabadiliko duniani. Ban amesema vijana wana mawazo na nguvu za kukabiliana na changamoto ikiwamo ukosefu wa ajira tatizo alilosema linawakabili karibu watu milioni 74 [...]

27/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wawakilishi wa wakimbizi waliotekwa nyara waachiliwe:Al-Za'tari

Kusikiliza / mwakilishi wa UNAMID

Mwakilishi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa ambaye pia ni mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Ali Al-Za'tari, ameelezea wasiwasi wake kuhusu taarifa za kutekwa nyara kwa wawakilishi wa wakimbizi wa ndani waliokuwa safarini kutoka Zalingei, Darfur Kati kwenda Nyala, Darfur Kusini kuhudhuria mkutano kuhusu wakimbizi wa ndani. Al-Za'tari amesema msafara huo ulikuwa chini ya [...]

27/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vyandarua vyenye viuatilifu vyachochea uzalishaji wa maziwa: FAO

Kusikiliza / Mifugo

Njia rahisi na ya ubunifu ya kutumia madawa kwenye vyandarua kulinda mifugo kumeongeza mara mbili au mara tatu katika baadhi ya sehemu uzalishaji wa maziwa kwa wafugaji wadogowadogo, huku kukisaidia pia kupunguza maradhi yatokanayo na mbu kwa binadamu kwenye maeneo ya Kisii nchini Kenya limesema shirika la chakula na kilimo FAO. Hayo yamebainika katika mradi [...]

27/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sellström azungumzia jukumu la kuongoza jopo la uchunguzi Syria

Kusikiliza / Ake Sellström

Mkuu wa jopo la Umoja wa Mataifa litakalochunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria, Profesa Ǻke Sellström amezungumzia uteuzi huo na kusema ni heshima kubwa kwa Katibu Mkuu Ban Ki-Moon kumteua kuongoza kikundi hicho.Katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa Mataifa Sellström amesema kuwa anatarajia kuanza kazi hiyo ndani ya wiki [...]

27/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031