Nyumbani » 26/03/2013 Entries posted on “Machi 26th, 2013”

Ban akutana na waziri wa Mambo ya Nje wa DRC

Kusikiliza / Ban na Waziri N'tungamulongo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, Raymond Tshibanda N’Tungamulongo ambapo viongozi hao wamezungumzia hali tete ya usalama nchini humo na utekelezaji wa mkataba wa amani na ushirikaino kwa ajili ya ukanda wa maziwa makuu. Viongozi [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yatoa huduma kwa waathiriwa wa mvua kubwa

Kusikiliza / unhcr georgia

Shirika la Kuhudumia wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR limekuwa likitoa huduma za hema na viandarua kwa familia zilizoathirika kutokana na mvua kubwa huko Gori na Koptinari. Kufuatia ombi kutoka kwa mamlaka za Georgia, wawakilishi UNHCR nchini Georgia wanawasaidia waathiriwa wa mvua kubwa na kimbunga Gori. Shirika la UNHCR limetoa hema 100 kwa familia zinazoishi [...]

26/03/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Watoto wa Zimbabwe wainuliwa kwa vitabu milioni 15 kutoka UNICEF

Kusikiliza / unicef kids books

Shirika la Umoja wa Mataifa la kusaidia watoto UNICEF,  limejikita katika kuinua huduma za kijamii katika nchi mbalimbali duniani kote hususan, kusaidia watoto katika lishe, elimu na afya . Nchini Zimbabwe pekee UNICEF kwa kushirikiana na washirika wengine wa maendeleo  limegawa vitabu milioni 15 kwa mwaka 2011. Kwa kupitia mpango unaofahamika kama Mfuko wa elimu [...]

26/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yasambaza huduma za dharura kuwanusuru wakimbizi walionusurika na moto Thailand

Kusikiliza / UNHCR yasambaza huduma Thailand

Wakati idadi ya watu waliopoteza maisha nchini Thailand ikiongezeka na kutokana na kuzuka kwa moto kwenye kambi moja ya wakimbizi, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi hao UNHCR limeanza kusambaza misaada ya dharura. Ripoti zinasema kuwa, moto uliozuka kwenye kambi ya Ban Mae Surin iliyoko katika jimbo la Mae Hong imeteketeza kambi hiyo [...]

26/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WFP yaomba dola milioni 7.1 kusaidia Guinea Bissau

Kusikiliza / Bei ya chakula imeshuka

Shirika la Mpango wa Chakula, WFP, limesema taifa la Guinea Bissau linahitaji kwa dhrura ufadhili wa dola milioni 7.1 zitakazotumika kuwapa msaada wa chakula na lishe watu 278, 000 kote nchini mwaka 2013. Usaidizi huu ulitarajiwa kung'oa nanga mwezi Machi mwaka huu lakini unaonekana kuchelewa. WFP haijapokea msaada wowote kwa ajili ya operesheni hiyo.

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yahaha kukwamua wahamiaji kutoka Ethiopia

Kusikiliza / Ramana ya Djibouti

Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM nchini Djibouti  limetoa ombi la dharura la dola Milioni Tano kwa ajili ya kuokoa maisha wahamiaji wa Ethiopia na Somaliawalio kwenye mazingira magumu nchini humo baada ya kushindwa kuendelea na safari ya ughaibuni. Msemaji wa IOM Jumbe Omari Jumbe amesema ombi la awali la dola Milioni 72 kwaDjiboutikupitia mchakato [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wahamiaji wa Kiethiopia na Kisomali wakwama Yemen IOM yaomba msaada

Kusikiliza / Nembo ya IOM

Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM nchini Djibouti  limetoa ombi la dharura la dola Milioni Tano kwa ajili ya kuokoa maisha ya wahamiaji wa Ethiopia na Somaliawalio kwenye mazingira magumu nchini humo baada ya kushindwa kuendelea na safari ya ughaibuni. Msemaji wa IOM Jumbe Omari Jumbe amesema ombi la awali la dola Milioni 72 kwa [...]

26/03/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Ban ameteua mkuu wa ujumbe wa kuhakiki madai ya matumizi ya silaha za kemikali Syria

Kusikiliza / Msemaji wa Katibu Mkuu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amemteua Profesa Ake Sellström kutoka Sweden kusimamia ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuhakiki ripoti za madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria, kwa mujibu wa taarifa ilotolewa na msemaji wake, Martin Nesirky. Bwana Sellström ni meneja wa miradi katika taasisi ya utafiti nchini Sweden, [...]

26/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Watoto wakosa huduma muhimu wakati mgogoro ukiendelea CAR

UNICEF, CAR

                Maelfu ya watoto nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameachwa bila hudumu muhimu za kutosha wakati waasi wakisonga mbele na kuelekea mji mkuu Bangui limesema shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF. Kwa mujibu wa shirika hilo maeneo yanayodhibitiwa na waasi huduma za afya zimeathirika [...]

26/03/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Maiti zaidi ya 20 wabainika huko Yemen, IOM yatoa ombi

Kusikiliza / IOM

Sintofahamu imelikumba shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM baada ya taarifa za kuwepo kwa mlundikano wa maiti za watu wanaosadikiwa kuwa ni wahamiaji kwenye nyumba moja karibu na ofisi za shirika hilo kwenye mji wa Harath, Kaskazini mwa Yemeni.Taarifa hizo zinakuja wakati huu ambapo IOM inahaha kupata fedha za dharura kusaidia wahamiaji walioshindwa kuendelea na [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Madagascar inahitaji zaidi ya dola milioni 41 kupambana na janga la nzige

Kusikiliza / Janga la nzige Madagascar

Taifa la Madagascar linahitaji zaidi ya dola milioni 22 kwa ufadhili wa dharura hadi mwezi Juni kupambana na janga la nzige ambalo  linahatarisha usalama wa chakula kwa karibu nusu ya wananchi wa taifa hilo kwa mujibu wa Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO. Shirikahilohata hivyo linasema kuwa mikakati ya miaka miwili [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yatoa mwito wa kutaka kusafirishwa kwa misaada ndani mwa Syria

Kusikiliza / Mama na mtoto, Syria

Shirika la kuhudumia wakimbizi wa Umoja wa Mataifa UNHCR limerejelea wito wake kwa pande husika nchini Syria kutoa fursa kwa misafara inayosafirisha misaada ya kibinadamu kwa raia ndani mwa nchi.Kwenye mazingira ya sasa ya usalama misafara kadha imefutiliwa mbali au imecheleweshwa suala linalowanyima wasyria wengi misaada wanayohitaji. Kulingana na makadirio ya hivi punde ya Umoja [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kesi ya Ntaganda kuanza kusikilizwa Septemba 23 mwaka huu

Kusikiliza / ICC

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imetangaza tarehe 23 mwezi Septemba kama siku ya kuanza kusikilizwa kwa kesi inayomkabili mtuhumiwa wa kivita nchini Jamhuri ya Kedomrasi ya Congo DRC Bosco Ntaganda. Wakati wa kufikishwa mahakamani mara ya kwanza makaka ya ICC ilimtambua Ntaganda na kumfahamisha kuhusu mashataka yanayomkabili na haki zake chini ya [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lalaani Seleka, launga mkono hatua ya AU

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Usalama la UM

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshutumu kitendo cha waasi wa kundi la Seleka huko Jamhuri ya Afrika ya Kati kupindua serikali na kusababisha majanga ikiwemo vifo na majeruhi kwa askari wa Afrika ya Kusini waliokuwemo nchini humo kulinda amani. Kauli hiyo imetolewa baada ya kupokea taarifa ya hali halisi nchini Jamhuri ya Afrika [...]

26/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930