Kusikiliza /

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ameeleza kusikitishwa kwake na ripoti za kuendelea kwa mapigano huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, licha ya makubaliano ya mwezi Januari mwaka huu yaliyoanzisha serikali ya Umoja wa kitaifa. Bwana Ban amekaririwa na msemaji wake akieleza kuwa mapigano yataongeza machungu na kutokuwepo na utulivu mambo [...]
23/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC imethibitisha kupelekwa The Hague kwa Bosco Ntaganda mtuhumiwa wa uhalifu wa kibinadamu huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, hiyo ni hatua njema na ya kuungwa mkono. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika taarifa aliyotoa baada ya Fatou [...]
23/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limesifu kitendo cha mtuhumiwa wa uhalifu wa kivita Bosco Ntaganda kujisalimisha kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague tarehe 22 mwezi huu huu. Taarifa ya baraza hilo imekariri wajumbe wakipongeza nchi zilizofanikisha hatua ya kujisalimisha kwa Ntaganda na kusema kuwa kitendo hicho kinaashiria hatua chanya [...]
23/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »
Kusikiliza /

Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya kimataifa ya Kifua Kikuu tarehe 24 mwezi huu, Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM limataka kujumuishwa kwa wahamiaji kwenye mikakati ya kuzuia ugonjwa wa kifua kikuu. Hii ni baada ya ripoti zinazosema kuwa ugonjwa wa kifua kikuu umesalia kuwa mzigo mkubwa sehemu nyingi za ulimwengu ukiwaathiri zaidi watu maskini na [...]
23/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »