Nyumbani » 20/03/2013 Entries posted on “Machi 20th, 2013”

Mzozo wa Syria wachangia ongezeko la watu wanaoomba hifadhi salama nchi zilizoendelea: UNHCR

Kusikiliza / Asylum seekers

Ripoti mpya ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR, imesema mizozo mipya na ile ya zamani mwaka uliopita, ikiwemo ile ya Syria, Afghanistan, Iraq, na Somalia imechangia kuongezeka kwa idadi ya watu wanaoomba hifadhi salama katika nchi zilizoendelea kwa asilimia 8 zaidi mnamo mwaka 2012. Ripoti inasema ongezeko kubwa zaidi lilishuhudiwa katika [...]

20/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wananchi wa Somalia waanza kufurahia matunda ya amani

Kusikiliza / Wanajeshi wa AMISOM

Mwanzoni mwa wiki hii mjini Mogadishu kulifanyika shambulizi la bomu lililosababisha vifo vya watu saba na wengine kadhaa kujeruhiwa. Mwakilishi maalum wa katibu mkuu wa umoja wa mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga,  alilaani shambulizi hilo linalosemekana lilimlenga Afisa wa usalama, na kusema hilo litaongeza ari ya wasomali katika kusaka amani. Wakati hayo yakiripotiwa utafiti [...]

20/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM kukabiliana na usafirishaji binadamu

Kusikiliza / iom logo

Kwa mujibu wa takwimu za idara ya Umoja wa Mataifa dhidi ya mihadarati na uhalifu duniani, UNODC, biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu  ni ya pili kwa pato la juu la fedha haramu  nyuma ya biashara ya mihadarati. Kwa mwaka biashara hii huingiza fedha haramu kiasi cha dola za Kimarekani bilioni thelathini na moja . [...]

20/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Jaribio la kuhimili Tsunami eneo la Karibia kufanyika leo

Kusikiliza / uharibifu wa Tsunami

Nchi thelathini na tatu duniani leo zitashiriki katika zoezi maalum la tahadhari ya tetemeko la chini ya ardhi, tsunami lenye lengo la kupima utayari wa kukabiliana na janga hilo kwa nchi husika. Jaraibio hilo ambalo litazihusu nchi za Mashariki mwa Pwani ya Canada, Marekani, Ghuba ya Mexico na Bermuda limeandaliwa na Shirika la Umoja wa [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa za dharura | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili hali na maendeleo nchini Haiti

Kusikiliza / kambi nchini Haiti

Taifa la Haiti limekumbana na changamoto nyingi katika kipindi cha mwaka mmoja ulopita katika ngazi ya kisiasa na kibinadamu, na linahitaji kusaidiwa kujikwamua tena na kupiga hatua za maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu nchini Haiti, Nigel Fisher. Bwana Fisher amesema hayo wakati akiwasilisha ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu Ujumbe wa [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Nepal isisamehe makosa makubwa ya ukiukwaji wa haki: Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu Navi Pillay amelaani na kupinga hatua ya Nepal ambayo imepitisha sheria ya uanzishwaji wa Tume ya ukweli na maridhiano itakayokuwa na uwezo wa kutoa msamaha kwa watu wanaotuhumiwa kwenda kinyume na misingi ya haki za binadamu nchini humo.  Pamoja na kupinga hatua hiyo, Pillay [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Libya na Guinea zamulikwa huko Geneva

Kusikiliza / Kyung-Wha Kang

Kikao cha baraza la haki za binadamu kinachoendelea Geneva, Uswisi kimepata ripoti za Kamishwa wa tume ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa kuhusu Libya na Guinea ambapo imesema licha ya kuimarika kwa haki za binadamu bado kuna changamoto.  Akiwasilisha ripoti kuhusu Guniea Naibu Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yawezeshwa kusaidia wakimbizi Uganda

Kusikiliza / Wakimbizi kutoka DRC huko Rwamwanja nchini Uganda

Serikali ya Brazil hii imetoa mchango wake wa kwanza kwa shirika chakula na kilimo duniani, FAO nchini Uganda ambapo tani 2000 za mchele zenye gharama ya dola Milioni moja zilizitolewa. Mchele huo utatumiwa miezi inayokuja kuwasaidia wakimbizi 155,000. Jason Nyakundi na taarifa zaidi. (SAUTI YA JASON) Mjumbe wa masuala ya Brazil nchini Uganda Antonia Ricarte [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuwajali wengine kunajenga furaha: Ban

Kusikiliza / Siku ya kimataifa ya furaha

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon ametoa salamu zake kwa maadhimisho ya kwanza ya siku  ya furaha duniani hii leo na kusema kuwa bado safari ya kufikia furaha ni ndefu kwa wakazi wengi duniani ambao wamegubikwa na ufukara.  Amesema kwa watu wengi zaidi mizozo ya mara kwa mara ya kiuchumi na kijamii, [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Cote D'Ivoire yatakiwa iendeleze demokrasia kwa kulinda haki za binadamu na sheria

Kusikiliza / Doudou Diene

Mtaalam huru kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Cote d'Ivoire, Doudou Diene, amesema kuwa nguzo tatu za mzozo wa nchi hiyo, ambazo athari  za kimaadili, kisiasa na kijamii, zinatakiwa kuzingatiwa kwa njia ya kina. Akiongea kwenye kikao cha 22 cha Baraza la Haki za Binadamu kinachoendelea mjini Geneva, Uswisi, Bwana Diene amesema uhasama wa [...]

20/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ajenda ya elimu kwa wote bado kutimia

Kusikiliza / Watoto wakiwa darasani

Zaidi ya wawakilishi 100 wa mashirika ya Umoja wa Mataifa, wahisani, wasomi na mashirika ya kiraia wamekubaliana kuwa mfumo endelevu wa kujiendeleza watoto, vijana na watu wazima uwe kitovu cha ajenda ya maendeleo wakati huu ambapo azma ya elimu kwa wote haijatimia. Wamefikia makubaliano hayo huko Dakar, Senegal kwenye kikao cha kujadili ajenda ya maendeleo [...]

20/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031