Kongamano la UM kujadili mauzo ya nje ya nchi zinazoendelea
Kusikiliza /
Mashirika matano ya Umoja wa Mataifa yameandaa kongamano la siku mbili kuhusu mauzo ya nje ya bidhaa kutoka nchi zinazoendelea. Miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa katika kongamano hilo, ni pamoja na chagamoto zinazozikumba nchi zinazoendelea, zikiwemo kuainisha bidhaa za kahawa, chai, kakao, ndizi, samaki, mbao na maua kama bidhaa endelevu chini ya mipango tofauti ya kutoa [...]
