Nyumbani » 15/03/2013 Entries posted on “Machi 15th, 2013”

Mkutano kuhusu hadhi ya wanawake wamalizika New York, Marekani

Kusikiliza / CSW

Makala yetu inaangazia mkutano wa hadhi ya wanawake uliomalizika leo Ijumaa Machi 15, katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini NewYork. Mkutano huo uliowakutanisha pamoja wanaharakati wa haki za wanawake pamoja na wawakilishi wa serikali na asasi za kiraia zinazopinga ukatili wa jinsia, ulijikita katika ukatili kwa wanawake na wasichana kwa kuangalia athari zake [...]

15/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Dunia yashindwa kukabiliana na mabadiliko ya mlo: FAO

Kusikiliza / Mlo

Ukuaji wa uchumi, miji na mabadiliko mbali mbali duniani vimetajwa kusababisha mabadiliko ya mlo na mfumo wa maisha katika sehemu mbali mbali duniani huku serikali zikishindwa kukabiliana na mabadiliko hayo.  Hiyo ni kauli ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na kilimo duniani, FAO Jose Graziano da Silva aliyoitoa wakati akizungumza na wasomi katika chuo [...]

15/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban amteua Flavia Pansieri wa Italia kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu

Kusikiliza / Bi Pansieri na Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amemteua Bi Flavia Pansieri, raia wa Italia, kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa. Bi Pansieri atamrithi Bi Kyung-wha Kanga, ambaye Bwana Ban na Kamishna Mkuu Navi Pillay wamemshukuru kwa huduma yake ya miaka sita kwa mpango wa haki za binadamu Umoja [...]

15/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

IOM kutoa mafunzo kwa maafisa Uhamiaji Afrika Magharibi na Kati

Kusikiliza / wahamiaji wakipanda kwenye Meli

Maafisa waandamizi wa uhamiaji na askari kutoka nchi 13 zinazozungumza Kifaransa Magharibi na Kati mwa Afrika, wanakutana Jumatatu mjini Dakar Senegal kujadili njia bora za kupambana na uhamiaji haramu na namna ya kuwalinda wahamiaji walioko katika mazingira magumu.  Mafunzo hayo ni sehemu ya ufadhili wa mradi Shirika la Kimataifa la Uhamiaji ukanda wa Canada unaoangazia [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM wakaribisha kuachiliwa wanasiasa Cambodia na kutaka haki ya kujieleza iruhusiwe katika uchaguzi ujao

Kusikiliza / Kuendelezwa haki za binadamu Cambodia

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na haki za binadamu kwa Cambodia, Surya P. Subedi, amekaribisha hatua ya uachiliwaji huru mwanasiasa Mam Sonando, na wakati huo huo ameonyesha matumaini yake juu ya hatua nyingine ambayo serikali inakusudia kuwachilia pia wanaharakati wengine, Kan Sovann na  Mr Touch Ream kama sehemu ya kutii uamuzi uliotolewa na mahakama [...]

15/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR yasikitishwa na ripoti za ukatili dhidi ya watu wa jamii ya Rohingya kwenye boti

Kusikiliza / Boti za jamii ya Rohingya kutoka Myanmar

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR limeitaka serikali ya Thailand kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa za kutoswa kwenye maji kwa boti ya Rohingya  na tukio la ufyatuaji wa risasi. Msemaji wa UNHCR Fatoumata Lejeune-Kaba amesema kuwa maafisa wa shirika hilo wamekutana na baadhi ya manusura wa tukio hilo, lililotokea katika eneo la [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Udhibiti wa biashara ya silaha ni muhimu: Ban

Kusikiliza / Biashara ya silaha

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameunga mkono mpango unaopendekeza kuanzishwa kwa mkataba wa udhibiti wa biashara ya silaha, ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kufanyika kwa mkutano wa kimataifa ambao unatazamiwa kuamua juu ya mkataba huo. Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa zinatazamiwa kukutana wiki ijayo kwa ajili ya kufikia uamuzi [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pakistan yapinga matumizi ya ndege zisizokuwa na rubani nchini mwake.

Kusikiliza / Ben Emmerson

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu vita dhidi ya ugaidi na haki za binadanmu Ben Emmerson amehitimisha mikutano yake nchini Islamabad, Pakistani kuhusu matumizi ya vifaa vya anga visivyo na rubani ambapo kwa ujumla amesema wapakistani wanapinga matumizi ya vifaa hivyo.  Katika taarifa yake aliyoitoa baada ya mikutano hiyo iliyofanyika kati ya tarehe 11 [...]

15/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya Haki za Binadamu yaipongeza serikali ya Kenya kwa uchaguzi wa amani

Kusikiliza / Moja ya vituo vya kupigia kura nchini Kenya

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa (OHCHR), imeipongeza serikali ya Kenya na watu wake kwa kuendesha uchaguzi kwa njia ya amani, na kusema kuwa inatumai Kenya itaendelea kwenye mkondo wa mabadiliko na haki za kijamii.  Timu ya waangalizi wa Ofisi ya Haki za Binadamu waliokwenda Kenya kufuatilia uchaguzi huo [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano yazidi kuhatarisha wakimbizi Jamhuri ya Afrika ya kati: UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi ndani  ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeelezea wasiwasi wake kuhusu hali iliyopo  kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya kati ambapo uvamizi wa juma lililopita umeyaweka hatarini maisha ya raia wakiwemo wakimbizi kutoka  Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo DRC.  UNHCR inasema kuwa waasi wa Seleka waliotia sahihi makubalino ya amani na serikali [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaonya hatari inayokodolea macho Mashariki ya Kati

Kusikiliza / Mkuu wa UNHCR akizungumza na wakimbizi wa Syria kwenye kambi moja huko Lebanon

Kamishna mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, Antonio Guterres amerejelea wito wake kwa serikali akizitaka kutenga fedha za kuwasaidia wakimbizi wa Syria na nchi zilizowapa makao. Guterres ameonya kuwa ikiwa fedha za kuwasaidia wakimbizi wa Syria hazitakuwepo, msaada kwa wakimbizi hao utakosekana hali ambayo itazua msukosuko katika eneo hilo. Jason [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tuna wasiwasi na hali ya usalama Bangassou: Vogt

Kusikiliza / Margaret Vogt

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, Margaret Vogt amesema kuwa waasi wa kundi la Seleka wameteka mji muhimu wa Bangassou, kusini mashariki mwa nchi hiyo na sasa Umoja huo hauwezi kufahamu hali ikoje kwa kuwa njia za mawasiliano zimekatwa.  Katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja [...]

15/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031