Ban apongeza wakenya, azungumza na Uhuru na Raila
Kusikiliza /
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameona matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya yaliyotangazwa na Tume ya Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini humo IEBC na kuwapongeza wakenya kwa azma yao waliyoonyesha ya kushiriki uchaguzi ho kwa amani na uvumilivu wao wakati wakisubiri matokeo. Taarifa ya msemaji wa Umoja wa Mataifa imeeleza kuwa [...]
