Nyumbani » 04/03/2013 Entries posted on “Machi 4th, 2013”

Sheria kikwazo katika kutokomeza ukatili kwa wanawake

Michelle Bachelet

Kutokuwepo kwa  sheria zinazoainisha ukatili kwa wanawake majumbani ni kikwazo katika kupambana na ukatili kwa wanawake. Mkuu wa Kitengo cha maswala ya Jinsia na kuwawezesha wanawake katika Umoja wa Mataifa   MICHELLE BACHELET amesema hadi sasa ni nchi 125 pekee ulimwenguni ambazo sheria zake zinaweka bayana kwamba ukatili wa majumbani ni kosa la jinai huku nchi [...]

04/03/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNICEF na washirika wasaidia waathirika wa Kipindupindu Haiti

Kusikiliza / Wagonjwa wa kipindupindu

Haiti nchi iliyoko katika visiwa vya Karibia ni nchi ambayo imekumbwa na ugonjwa wa mlipuko wa kipindupindu .Hii inatokana na majanga mbalimbali ya kibinadamu kama vile matetemeko ya ardhi yaliyosababisha watu wengi kukosa makazi na hivyo kuishi katika mazingira hatarishi. Mlipuko wa kipindupindu umechangiwa na mikusanyiko ya watu katika nyumba zisizo rasmi, yakiwemo mahema, huku [...]

04/03/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Mamilioni wakabikliwa na tishio la njaa Kusini mwa Afrika

Kusikiliza / wfp food2

Zaidi ya watu Milioni sita Kusini mwa Bara la Afrika wanakabiliwa na njaa kali kutokana na upungufu wa chakula huku wengine wakikabiliwa na magonjwa mbalimbali ikiwemo utapiamlo.  Kwa mujibu wa shirikisho la kimataifa la Msalaba mwekundu Mpevu mwekundu, tishio hilo ambalo halijapewa umuhimu katika vyombo vya habari kimataifa linazikabili nchi za Angola, Zimbabwe, Lesotho, na [...]

04/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Matatizo ya mifumo ya afya yawatia akina mama waja wazito nchini Mali hatarini kifedha

Kusikiliza / Mama na mtoto Mali

  Mamia ya familia nchini Mali wanakabiliwa na jinamizi la kupoteza fedha nyingi wakati wa zoezi la kujifungua kwa kina mama kutokana na kukosekana kwa vifaa maalumu ambavyo vinaweza kuokoa maisha ya mama. Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa katika jarida la shirika la afya ulimwenguni WHO, pamoja na kuwepo kwa juhudi za kuwepo kwa huduma [...]

04/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Biashara haramu yaipora Afrika nyani 3000 kila mwaka: UNEP

Kusikiliza / Nyani

Biashara haramu ya nyani inaipokonya misitu ya bara la Afrika na Asia Kusini takriban nyani 3000 kila mwaka na inatajwa kuongezeka na kuwa kitisho kwa idadi ya nyani maeneo hayo, kwa mujibu wa ripoti mpya ya Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP. Ripoti hiyo yenye kichwa "Nyani Walioibwa" ndiyo ya kwanza kuangazia bishara [...]

04/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Shambulizi au mlipuko wa nyuklia unaweza kusababisha baa la kibinadamu: OCHA

Kusikiliza / Rashid Khalikov

  Kuna haja ya kuzingatia kwa pamoja jinsi mifumo iliyopo sasa ya huduma za kibinadamu zinavyoweza kukabiliana ipasavyo na shambulizi au mlipuko wa nyuklia, ikiwa hali hiyo ingetokea, amesema Bwana Rashid Khalikov, Mkurugenzi wa Ofisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu, OCHA, mjini Geneva. Katika taarifa kwa waandishi wa habari wakati wa kufunguliwa kwa kongamano la [...]

04/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapambano dhidi ya ukatili kwa wanawake yatiwa shime

Kusikiliza / CSW-2013

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson, amesema mapambano dhidi ya ukatili kwa wanawake hayahitaji mpambanajii awe mwanasiasa wala mtunga sera. Akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume inayohusika na maswala ya Wanawake katika ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Naibu Katibu Mkuu huyo amesema kila mtu [...]

04/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mtaalamu wa UM ataka kuwekeza kwa wanawake kukabili njaa

Kusikiliza / Oliver de Schuter

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa kumwezesha mwanamke kwa hali yoyote ni sawa na kuchukua njia ya mkata ya kukabiliana na tatizo la ukosefu wa chakula, tatizo ambalo limeendelea kuwa sugu katika maeneo mengi.   Olivier De Schutter ambaye ni mtaalamu juu ya haki ya chakula amesema kuwa viongozi wa dunia wanapaswa kuzifanyia [...]

04/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Iran, Korea Kaskazini na Japan zamulikwa kwenye mkutano wa halmashauri ya IAEA

Kusikiliza / Yukiya Amano

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki, (IAEA) Yukiya Amano, amesema shirika hilo linaendelea kujitahidi kuisaidia Japan kukabiliana na athari za ajali ya nyuklia ilotokea nchini humo yapata miaka miwili ilopita. Akiuhutubia mkutano wa halmashauri ya magavana wa shirika la IAEA, Bwana Amano ametoa ripoti kuhusu suala la kuhakiki usalama wa mpango [...]

04/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNAIDS yakaribisha habari za mtoto "kupona" baada ya matibabu dhidi ya HIV

Kusikiliza / Ukimwi barani Afrika

  Mpango wa Pamoja wa Umoja wa Mataifa juu ya ugonjwa wa Ukimwi (UNAIDS) leo umekaribisha ripoti ya utafiti kuhusu mtoto aliyetibiwa kwa dawa za kupunguza makali ya ugonjwa wa Ukimwi saa thelathini baada ya kuzaliwa na kisha kuacha matibabu hayo lakini akapatikana hana tena maambukizi. Kwa mujibu wa utafiti huo mama mzazi wa mtoto [...]

04/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031