Nyumbani » 01/03/2013 Entries posted on “Machi 1st, 2013”

IOM yajiandaa kutoa misaada ya kibinadamu kabla ya uchaguzi wa Kenya

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM, limesema linaweka mikakati ya kujiandaa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Kenya, siku chache kabla ya uchaguzi nchini humo hapo Jumatatu. Ungana na Jumbe Omari Jumbe wa IOM akizungumza kuhusu suala hilo.

01/03/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Uchaguzi wa Kenya mwaka 2013

Kusikiliza / Kenya presidential debate

Mnamo Siku ya Jumatatu tarehe nne mwezi Machi mwaka huu wa 2013, wananchi wa Kenya watajitokeza kutimiza wajibu wa kimsingi kisiasa. Siku hiyo, Wakenya watapiga kura kumchagua rais mpya, na viongozi wengine, ambao wataendesha gurudumu la kisiasa nchini humo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Umoja wa Mataifa unafuatilia kwa karibu sana uchaguzi huo, kwani [...]

01/03/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kufungwa mpaka wa Iraq kwayatia mashirika ya misaada wasiwasi

Kusikiliza / wakimbizi wa Syria

Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu yameelezea kusikitishwa na hatua ya Iraq kuufunga mpaka wa Al-Qa'im kati yake na Syria, ingawa unafunguliwa kwa ajili ya huduma za matibabu ya dharura. Raia wa Syria zaidi ya milioni moja  ambao wameshavuka mpaka na kukimbilia nchi jirani wanahitaji msaada wa kibinadamu kama huduma za afya na malazi huku [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban kutoa mkakati wa mtazamo wake wa maendeleo baada ya 2015

Kusikiliza / Informal Thematic Debate of the 66th Session of the General Assembly on “The Road to Rio+20 and beyond”

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema mnamo mwezi Septemba kwenye hafla maalum, atawasilisha mkakati wa kina kuhusu mtazamo wa maendeleo baada ya mwaka 2015, ambayo ndiyo tarehe ya mwisho ya kufikia malengo ya maendeleo ya milenia. Hafla hiyo ya mwezi Septemba itahusu ukaguzi wa hatua zilizopigwa katika kuyafikia malengo ya milenia, na [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Sheria na haki vyaangaziwa na Kamati ya kutokomeza ubaguzi dhidi ya wanawake

Kusikiliza / cedaw

Kamati ya kutokomeza unyanyasaji wa Wanawake imekamilisha kikao chake cha 54 kwa kurithia ripoti saba za mapendekezo yake kuhusu haki za wanawake na sheria za kulinda haki hizo, kwa lengo la kutoa mwongozo wa kuendeleza haki za wanawake na uwezo wao kupata haki. Mapendekezo hayo yanahusu hatua stahiki za kuchukua kuhakikisha kwamba haki za wanawake [...]

01/03/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Maelfu ya wakimbizi wakwamuliwa Myanmar

Kusikiliza / Nchini Myanmar

                Baada ya machafuko ya muda mrefu katika jimbo la Kachin nchiniMyanmar,Umoja wa Mataifa umefanikwa kuwakwamua maelfu ya wakimbizi wa ndani kwa kuwajrngea kambi salama za muda. Misaada hiyo inafuatia ziara iliyofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya wakimbizi na misaada ya kibinadamu,chakula na watoto yakiwemo UNHCR, [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Simu za mkononi zatumika kuboresha sekta ya ufugaji nchini Kenya: FAO

Kusikiliza / matumizi ya simu nchini Kenya

              Wakulima na madaktari wa mifugo kote barani Afrika kwa sasa wanatumia kwa wingi simu za mkononi kutoa tahadahri kuhusu mikurupuko ya magonjwa mapema zaidi na pia wakati wa kampeni za utoaji wa chanjo za mifugo. Sualahilolimefanya mawasiliano kuwa ya haraka na huduma kutolewa kwa njia iliyo rahisi na [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uwiano ndio utaharakisha watu kurudi makwao nchini Mali: UNHCR

Kusikiliza / Hali nchini Mali

              Miezi miwili tangu wanajeshi wa Ufaransa waingie nchiniMalishirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa linaendelea kushuhudia idadi kubwa ya wakimbizi wa ndani hasa kwenye nchi majirani. Kati ya watu 430,000 wanaokadiriwa kulazimika kuhama makwao idadi iliyoripotiwa hadi sasa ni watu 260,665. Idadi ya wakimbizi walio nchi zaMauritania,Burkina [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNESCAP waibua matumaini mapya Asia na Pasific

escap

Mkutano wa  hivi punde uliojikita katika  kukuza maendeleo katika ukanda wa Asia na Pasific umeibua matumaini mapya kwa nchi mweneyeji wa mkutano huo Timor- Leste . Akiongea baada ya mkutano huo Waziri Mkuu wa nchi hiyo JOSE GUSMAO amesema kasi ya maendeleo katika bara la Asia yamethibitisha kwamba bara hilo linaweza kuandikia historia mpya kwa [...]

01/03/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya watu milioni nne kukumbwa na uahaba wa chakula Sudan Kusini

Kusikiliza / watu wapokea msaada wa chakula Sudan Kusini

Inakadiriwa kuwa karibu watu milioni 4.1 kusini mwa Sudan huenda wakakumbwa na uhaba wa chakula mwaka huu kwa mujibu wa ripoti mpya ya Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO na lile la mpango wa chakula duniani WFP. Ripoti hiyo inasema kuwa uzalisaji wa chakula uliongezeka kwa zaidi ya asilia 35 kati [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yajiandaa kutoa misaada ya kibinadamu kabla ya uchaguzi wa Kenya

Kusikiliza / Kenya elections2

 Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM, limesema linaweka mikakati ya kujiandaa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Kenya, siku chache kabla ya uchaguzi nchini humo hapo Jumatatu. Shirika hilo limesema linashirikiana na serikali kuweka mipango ya dharura ambayo itajumuisha sekta mbali mbali, ili kuwa tayari kwa uchaguzi huo, kwa kuandaa bidhaa zisizo chakula. IOM pia imetambua [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya Haki za Binadamu ya UM kupeleka waangalizi kwa uchaguzi wa Kenya

Kusikiliza / Wakenya wajiandaa kwa uchaguzi

Ofisi ya Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, imesema itapeleka timu ya waangalizi wa haki za binadamu nchini Kenya katika siku chache, ambao watakuwemo nchini humo wakati wa shughuli nzima ya uchaguzi. Akitangaza hilo katika mkutano na waandishi wa habari mjini Geneva, msemaji wa afisi hiyo ya haki za binadamu, Rupert Colville, amesema waangalizi [...]

01/03/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031