Huduma za afya zaongezeka kutokana na kuwepo usalama nchini Somalia

Kusikiliza /

Baada ya kuimarika kwa usalama baada ya wanamgambo wa Al-Shabab kuikimbia miji ya kusini na kati kati mwa Somalia mashirika ya kutoa misaada sasa yameongeza huduma za kiafya na huduma zingine za dharura katika maeneo ambayo awali ilikuwa vigumu kuyafikia. Mratibu wa masuala ya dharura kwenye shirika la afya duniani WHO nchini Somalia Omar Saleh amesema kuwa Somalia imeshuhudia kuongezeka kwa fursa za utoaji wa huduma za kibinadamu hatua ambayo imeyasaidia mashirika ya kutoa misaada kutoa huduma za misaada kwa wale ambao hawakufikiwa awali. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031