Zebaki ni tishio kwa afya ya binadamu

Kusikiliza /

madini ya zebaki yanavyoathiri afya ya binadamu

Madini ya zebaki yana umuhimu mkubwa kwa maisha ya kila siku ya mwanadamu, lakini madini haya pia yametajwa kuwa na athari nyingi za afya ya mwanadamu kwa miaka mingi pasipo wengi kufahamu athari zake.

Utafiti unaonyesha kuwa viwango vya zebaki duniani vinaendelea kuongezeka vikichochewa kila siku za shughuli za mwanadamu zikiwemo uchomaji wa makaa ya moto na uchimbaji wa madini ya dhahabu. Zebaki huingia majini na kisha kuingia kwenye mwili wa binadamu kupitia ulaji wa samaki waliovuliwa kwenye maji hayo yenye madini ya Zebaki.

Lakini mengi zaidi kuhusu madini haya na athari zake kwa binadamu ungana na mwandishi wetu wa Nairobi, Kenya Jason nyakundi akufahamishe zaidi.

(PKG YA JASON NYAKUNDI)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930