Zambia yawapatia ukaazi wa kudumu wakimbizi wa Angola

Kusikiliza /

wakimbizi wa Angola

Serikali ya Zambia imeanza kuwapatia hadhi ya ukaazi wa kudumu baadhi ya wakimbizi wa Angola nchini humo ambao wanakidhi vigezo vya uhamiaji.

Mpango huo umeanza kufuatia usaidizi kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR na Umoja wa Afrika kwa kutoa dola Laki Moja kufanikisha mchakato huo wa kujumuisha wakimbizi wa Angola katika jamii ya Zambia. Taarifa zaidi na Jason Nyakundi

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031