Walioachiwa huru baada ya kutekwa na maharamia Somalia, wazungumza!

Kusikiliza /

Mateka waliokuwa wanashikiliwa na maharamia wa kisomali

Kwa muda mrefu sasa huduma za usafirishaji wa mizigo katika pwani ya Somalia umekuwa ukikumbwa na visa vya mara kwa mara vya meli kutekwa nyara na maharamia ambapo mara nyingi maharamia hao hudai kulipwa pesa ili waweze kuwaachia wahusika hali inayosababisha hofu kubwa miongoni mwa wasafirishaji.

Visa vya namna hiyo viliwakumba wafanyakazi waliokuwemo kwenye Meli moja iliyotekwa nyara mwaka 2010. Baada ya miaka takribani mitatu, wafanyakazi wameachiwa huru, ilihali baadhi yao walikufa katika mazingira tatanishi. Ungana na Assumpta Massoi katika ripoti hii.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930