Matatizo ya kibinadamu yashamiri Masisi: MONUSCO

Kusikiliza /

MONUSCO, masisi

Ujumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo MONUSCO umesema kumekuwa na ongezeko kubwa la ghasia za kikabila katika eneo la Masisi lililoko jimbo la Kivu Kaskazini

Taarifa ya kuwepo kwa matukio korofi inakuja baada ya MONUSCO kutuma maafisa wake waliokwenda kutathimini hali jumla ya mambo ikiwemo kuangazia hali ya usalama na mahitaji ya misaada ya kibinadamu. George Njogopa na taarifa zaidi.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Septemba 2014
T N T K J M P
« ago    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930