Mapigano kaskazini mwa Darfur yasababisha kuhama kwa watu wengi

Kusikiliza /

Ujumbe wa pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa kwenye jimbo la Darfur UNAMID umesema kuwa umejitolea kushirikiana na washikadau wote kwa minajili ya kuwahudumia maelfu ya raia waliokimbia vijiji vilivyo Kaskazini mwa jimbo la Darfur vya Saraf Omra, Kabkabya na El Sereif.

Tangazo hilo linajiri baada ya tathmini ya siku mbili ya kutaka kufahamu hali ya kibinadamu na kuthibitisha ripoti za mapigano zilizoufikia ujumbe wa UNAMID tarehe 6 mwezi huu kati ya makabila ya Abbala na Beni Hussein eneo la Jabel Amir. Jason Nykaundi na taarifa zaidi.

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Aprili 2014
T N T K J M P
« mac    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930