Hali ya wakimbizi CAR inatutia wasiwasi: UNHCR

Kusikiliza /

Watu wakihama makwao huko Jamhuri ya Afrika ya Kati

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linataka kuwafikia wakimbizi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati bila masharti yoyote kwa kuwa lina wasiwasi kuwa hali zao zitakuwa ni mbaya.

Msemaji wa UNHCR Adrian Edwrds akizungumza mjini Geneva leo amesema maelfu ya watu wamekimbia makazi  yao kutokana na mapigano kaskazini na mashariki mwa nchi hiyo wakati huu ambapo nchi hiyo inahifadhi pia wakimbizi kutoka nchi nyingine. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa George Njogopa.

(SAUTI YA ADRIAN)

“Tuna wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya ustawi wa jumla wa raia, wengi wao wakiishi mazingira magumu na kwenye makazi ya mbali. Vile vile wakimbizi kutoka nchi kama vile Sudan Kusini, Chad na Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo."

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031