Bokova alaani mauaji ya waandishi wa habari nchini Syria

Kusikiliza /

Irina Bokova

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa, UNESCO, Irina Bokova ameelezea wasi wasi wake kufuatia kuendelea kuuawa kwa waandishi wa habari nchini Syria , baada ya mauaji ya mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha runinga Suhail Mahmoud Al-Ali Ijumaa iliyopita. Taarifa zaidi na Jason Nyakundi.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031