UNAMID yasaidia kuimarisha mfumo wa mahakama huko Darfur Kaskazini

Kusikiliza /

UNAMID

Kikundi cha pamoja cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa kinacholinda amani huko Darfur, UNAMID kimekabidhi mahakama ya kijiji huko Tawilla, kaskazini mwa Darfur.

Mahakama hiyo yenye lengo la kurahisisha utekelezaji wa shughuli za mahakama kwenye eneo hilo, ni sehemu ya miradi ya UNAMID ya kuleta mabadiliko yanayoonekana haraka, kwa lengo la kuleta amani ya kudumu huko Darfur. George Njogopa anafafanua zaidi.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031