Ukiukaji wa haki za binadamu bado ni changamoto nchini Iraq: UM

Kusikiliza /

waandamanaji nchini Iraq

Suala la haki za binadamu nchini Iraq bado limesalia kuwa changamoto wakati taifa hilo linaposhuhudia mabadiliko kutoka nyakati zilizokuwa na mizozo na ghasia ikielekea kwenye demokrasia na amani imesema ripoti kuhusu haki za binadamu ya shirika la Umoja wa Mataifa.

Ripoti hiyo inasema kuwa suala la ghasia limesalia ajenda kuu huku idadi ya raia waliouawa ikiongezeka ikilinganishwa na wakati kama huo mwaka uliopita. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031