Sudan yahitaji takribani dola Bilioni Moja kwa misaada ya kibinadamu mwaka 2012: OCHA

Kusikiliza /

raia wa Sudan

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu, OCHA limeeleza kuwa kati ya dola Bilioni Nane na Nusu zilizoombwa kwa ajili ya misaada ya kibinadamu kwa mwaka 2013, takribani dola Bilioni Moja ni kwa ajili ya Sudan pekee.

Sudan inahitaji fedha hizo kwa ajili ya miradi 364 ya misaada ya kibinadamu kwa mwaka ujao. Taarifa zaidi na Alice Kariuki.

(SAUT YA ALICE KARIUKI)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031