Navi Pillay aelezea masikitiko yake kuhusiana na hali ya afya ya mwanaharakati wa haki za binadamu

Kusikiliza /

Kamishna wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu Navi Pillay ameelezea wasiwasi wake juu majaliwa ya mwanaharakati na mwanasheria Nasrin Sotoudeh ambaye hali ya afya yake imeelezwa kuzorota.

Bi Sotoudeh ambaye ni mwanaharakati wa haki za binadamu yuko katika mgomo wa kula tangu Octoba 17 mwaka huu kama njia ya kupinga kuwekw agerezani na marafuku iliyowekewa ya kutotembelewa na familia yake nchini Iran. Taarifa zaidi na George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031