Kampuni binafsi za ulinzi nchini Somalia ziongozwe kwa kanuni na sheria : Wataalamu UM

Kusikiliza /

Faiza Patel

Wakati Somalia inajenga upya taasisi zake za ulinzi na usalama, serikali ya nchi hiyo imetakiwa kuhakikisha kuwa vikosi binafsi vya ulinzi vinaongozwa kwa kanuni na sheria na havigeuzwi kuwa mbadala wa vikosi thabiti vya polisi.

Hilo ni tamko lililotolewa na kikundi cha wataalamu wanaochunguza matumizi ya mamluki waliofanya ziara nchini Somalia kwa siku saba wakiongozwa na Faiza Patel ambapo walisema kila raia wa Somalia ana haki ya kupatiwa ulinzi na si wale wenye uwezo tu. Taarifa zaidi na George Njogopa.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031