Dunia inaweza kufikia lengo la milenia la kutokomeza Ukimwi: Ban
Kusikiliza /
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amezitaka nchi wanachama wa umoja huo kuongeza jitihada za kutokomeza maambukizi ya virusi vya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto huku zikihakikisha kuwa wanawake wazazi wenye virusi vya Ukimwi wanaishi na afya zao zinastawi. Bwana Ban amesema hayo katika ujumbe wake wa kuadhimisha siku ya Ukimwi [...]