Viwango vya gesi inayochafua mazingira vyaandisha rekodi mpya mwaka 2011

Kusikiliza /

gesi chafu

Kiwango cha gesi inayochafua mazingira iliyo hewani kilivunja rekodi mwaka 2011 kwa mujibu wa ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa hii leo kabla ya kuanza kwa mazungumzo kuhusu mabadiliko ya mhali ya hewa juma lijalo.

Shirika la utabiri wa hali wa hewa duniani WMO ambalo ndilo lilolotoa ripoti hiyo linasema kuwa kati ya mwaka 1990 na 2011 kulikuwa na ongezeko la joto duniani kutokana na kuwepo kwa gesi ya carbon dioxide na gesi zingine. Tangu mwaka 1750 kulipoanza kubuni na kutumika kwa viwanda karibu tani billioni 375 za gesi ya Carbon zimeingia hewani hususan kutoka kwa mafuta. Nusu ya gesi hii huwa inasalia huwa huku asilimia nyingine ikiwa inaangia baharini.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031