UNICEF Burundi yasaidia raia wanaokimbia DRC

Kusikiliza /

 

Raia wanaokimbia DRC

Migogoro inayoendelea sehemu mbali mbali duniani husababisha watu kutafuta hifadhi nchi za jirani kwa ajili ya usalama wao na maisha yaweze kuendelea. Barani Afrika mizozo katika nchi za maziwa makuu imefanya watu kukimbia makwao mathalani huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Katika matukio mengi wanaopata matatizo ni wanawake na watoto.

Eneo la Cibitoke liko mpakani mwa Burundi na Jamhuri ya Congo ambapo nchi mbili hizo zinatenganishwa na mto RUSIZI. Mwandishi wetu wa maziwa makuu Ramadhani Kabuga alifika na kushuhudia mihangaiko ya raia wanaokimbia vurugu na vitimbi vya waasi wa kundi la MAI MAI huko DRC.

Ungana naye basi uweze kufahamu nini serikali ya Burundi inafanya pamoja na shirika kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF katika kusaidia wakimbizi hao.

(PKG YA RAMADHANI KIBUGA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2017
T N T K J M P
« apr    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031