Kuna wakimbizi zaidi wa ndani nchini Mali: UNHCR

Kusikiliza /

Mali

Takwimu kutoka nchini Mali zinaonyesha kuwa kuna idadi ya juu ya wakimbizi wa ndani nchini kuliko ilivyoripotiwa awali.Kulingana na tume unayohusika na kuhama kwa watu nchini Mali nchini ya uongozi wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ni kwamba watu 203,845 wamelazimika kuhama makwao.

Pia kumekuwa na dalili za watu kuhama ambapo watu wameripotiwa kukimbia kwa hali mbaya ya usalama na kuzoroteka kwa hali ya haki za binadamu kaskazini mwa nchi, hofu ya kufanywa kwa oparesheni za kijeshi, watu kuuawa na kutokuwepo huduma muhimu. Adrian Edwards ni msemaji wa UNHCR.

(SAUTI YA ADRIAN EDWARDS)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031