Hadhi mpya ya Palestina ndani ya Baraza Kuu la UM kuchochea amani Mashariki ya Kati

Kusikiliza /

Baraza Kuu

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi tarehe 29 Novemba ambayo ni siku ya kimataifa ya kusimama bega kwa bega na Palestina, lilipitisha azimio la kuipatia Palestina hadhi ya uangalizi bila haki ya kupiga kura katika Baraza hilo.

Katika kura hiyo ya kupitisha azimio hilo, nchi 138 ziliunga mkono huku Tisa zikipinga na nchi 41 zikiwa hazikuonyesha msimamo wowote. Nchi zilizopiga kura ya hapana ni pamoja na Marekani na Israeli huku Uingereza na Hungary zikiwa miongoni mwa nchi ambazo hazikuonyesha msimamo wowote.

Je hadhi hii ya Palestina ndani ya Baraza Kuu ina maana gani? Assumpta Massoi wa Radio ya Umoja wa Mataifa amezungumza na mwanadiplomasia Balozi Augustine Mahiga ambaye ni Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Hapa anaanza kwa kuelezea maana ya hatua hiyo.

(MAHOJIANO BALOZI MAHIGA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031