Harakati za kuleta amani mashariki mwa DRC zaendelea
Kusikiliza /
Siku ya Jumanne tarehe 20 mwezi huu iliripotiwa kuwa waasi wa kikundi cha M23 huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC waliingia na kusonga ndani ya mji wa Goma. Siku hiyo hiyo usiku Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio kuhusu DRC ambapo pamoja na mambo mengine limetaka waasi wa kikundi cha M23 [...]