Nyumbani » 19/11/2012 Entries posted on “Novemba 19th, 2012”

Kuimarika kwa amani Yemen; Katibu Mkuu apongeza serikali na wananchi

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon na Rais wa Yemen Abdrabuh Mansour Hadi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema Yemen ishikilie vyema maendeleo ya amani yaliyopatikana nchini humo kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu kutiwa saini kwa makubaliano yaliyosaidia kumaliza ghasia nchini humo na kuelekea kwenye kipindi cha mpito cha demokrasia. Bwana Ban amesema hayo mjini Sana'a, Yemen wakati wa mkutano na waandishi wa habari [...]

19/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mzozo Ukanda wa Gaza; Ban kukutana na viongozi wa Israel na Palestina

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon yuko nchini Misri ikiwa ni sehemu ya ziara yake huko Mashariki ya Kati ambayo pamoja na mambo mengine inalenga kushughulikia mapigano yanayoendelea hivi sasa huko Ukanda wa Gaza kati ya Palestina na Israel. Msemaji wa Bwana Ban amewaeleza waandishi wa habari kwa njia ya simu kutoka mji [...]

19/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jitihada za pamoja zahitajika kukabiliana na uharamia: Eliasson

Kusikiliza / uharamia

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson amesisitiza umuhimu wa mataifa yote duniani kushirikiana kukabiliana na vitendo vya uharamia ili kuhakikisha usalama wa mabaharia, wavuvi, abiria na wakati huo huo kulinda sekta ya utalii na uvuvi. Bwana Eliasson amesema hayo leo wakati akitoa taarifa mbele ya Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa [...]

19/11/2012 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UM wasisitiza azimio la haki za binadamu la nchi za ASEAN likidhi vigezo vya kimataifa

Kusikiliza / Navi Pillay

Mkuu wa Tume ya Haki binadamu ya Umoja wa Mataifa, Navi Pillay amesifu hatua ya Umoja wa nchi za kusini-mashariki mwa Asia, ASEAN ya kuridhia azimio la haki za binadamu huku hata hivyo akieleza wasiwasi wake kuwa nyaraka hiyo imetumia baadhi ya maneno ambayo yanaifanya isikidhi viwango vya kimataifa. Kauli ya Pillay imekuja baada ya [...]

19/11/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Uzalishaji wa mchele unazidi matumizi yake: FAO

Kusikiliza / FAO, mchele

Uzalishaji wa mchele kote duniani kwa mwaka 2012 unabashiriwa kuwa utazidi matumizi yake kati ya mwaka huu na mwaka ujao, na hivyo kuwepo tani milioni tano zaidi za nafaka hiyo inayotegemewa na wengi mwaka wa 2013, limesema Shirika la Chakula na Kilimo, FAO. Kwa mujibu wa chombo cha kufuatilia soko la mchele, RMM, maghala ya [...]

19/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Leo ni siku ya choo duniani

Kusikiliza / siku ya choo duniani

Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya choo duniani mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kuwa na maji ya kunywa na usafi wa mazingira Catarina de Albuquerque amesema kuwa huenda suala la usafi lisiafikiwe kuambatana na lango la maendeleo ya milenia la kupunguza umaskini ifikapo mwaka 2015. Mjumbe huyo amesema kuwa suala la usafi [...]

19/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kituo kipya cha runinga chatoa mafunzo kwa wanafunzi ukanda wa Gaza

Kusikiliza / gaza-students

Huku ghasia zikizidi kuchacha kwenye ukanda wa Gaza Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA liwekuwa likitumia mfumo wake wa mawasiliano ya runinga kwa njia ya satellite kuwapa mafunzo karibu watoto 250,000 katika eneo hilo. Runinga hiyo ijulikanayo kama UNRWA TV ni ya kwanza na ya aina yake ya Umoja wa [...]

19/11/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Waandishi wa habari wanawake Mauritania wapatiwa mafunzo kwa msaada wa UNESCO

Kusikiliza / UNESCO,  IPDC

Nchini Mauritania, waandishi wa habari wanawake kutoka radio, magazeti na wale wanaochapisha habari kwenye intaneti v wamepatiwa mafunzo kuhusu maadili na kanuni za uandishi wa habari. Mafunzo hayo ya siku nne yaliyoendeshwa na programu ya kimataifa ya kuendeleza mawasiliano, IPDC kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, yalilenga [...]

19/11/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wakazi wa Goma wahaha baada ya waasi wa M23 kutishia kufanya vurugu: OCHA

Kusikiliza / M23

Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu misaada ya kibinadamu, OCHA imesema hali ya usalama kwenye mji wa Goma ulioko Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, DRC ni mbaya kwa kuwa kikundi cha waasi cha M23 kimetishia kuingia na kufanya vurugu. Afisa wa habari wa OCHA kwa DRC Yvon Edoumou amesema maelfu ya wakazi wa [...]

19/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ya amani na kibinadamu Ukanda wa Gaza ni mbaya: UNRWA

Kusikiliza / Chris Gunness

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada na ulinzi kwa wakimbizi wa kipalestina, UNRWA limesema hali ya usalama na kibinadamu huko Ukanda wa Gaza ni mbaya. Msemaji wa UNRWA Christopher Gunnes akizungumza na radio ya Umoja wa Mataifa hii leo amesema wanachoshuhudia hivi sasa ni maroketi yakirushwa kwenye eneo hilo la Gaza ambalo nusu [...]

19/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Katibu Mkuu ataka mapigano Ukanda wa Gaza yasitishwe

Kusikiliza / Katibu  Mkuu Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa taarifa yake kuhusu mapigano yanayoendelea huko Ukanda wa Gaza kati, na kuelezea kusikitishwa kwake na vifo vya raia vinavyoendelea kuripotiwa na kutaka pande husika ziache mara moja mapigano hayo. Bwana Ban amesema kuendelea kwa mapigano hayo kutasababisha ongezeko la machungu kwa raia hususan wanawake na watoto [...]

19/11/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Hatupokei fedha kutoka kampuni za vinywaji na vyakula kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza: Dkt. Chan

Kusikiliza / diabetes_mellitus

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya duniani, WHO Dkt. Margaret Chan amesema kamwe shirika lake halipokei fedha zozote kutoka kampuni za kutengeneza vyakula na vinywaji ili kusaidia kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile saratani na moyo. Dkt. Chan amesema licha ya kwamba magonjwa hayo husababisha asilimia 63 ya vifo vyote vinavyotokea kwa mwaka [...]

19/11/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031