Nyumbani » 17/11/2012 Entries posted on “Novemba 17th, 2012”

Baraza la usalama lalaani vikali mashambulizi ya waasi wa M23 mashariki mwa DRC

Kusikiliza / wanajeshi wa DRC wakiwasaka waasi wa M23

Wanachama wa Baraza la Usalama, wamelaani vikali mashambulizi ya waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwenye maeneo ya Kibumba, Mboga na Ruhondo, pamoja na kuendelea kuukaribia mji wa Goma. Katika azimio lililofikiwa baada ya kikao maalum mjini New York siku ya Jumamosi, wanachama hao wa Baraza la Usalama pia wamewataka waasi [...]

17/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mikakati rahisi yaweza kutumika kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa njiti: WHO

Kusikiliza / premature-births

Tatizo la watoto kuzaliwa njiti au kabla ujauzito haujatimiza wiki 37 linaongoza kwa kusababisha vifo vya watoto wachanga Milioni Moja duniani kote, wakati ambapo asilimia 75 ya watoto hao wanaweza kuokolewa kwa kutumia teknolojia rahisi na kwa gharama nafuu. Huo ni ujumbe wa leo ambayo ni siku ya kimataifa ya kupambana na vifo vya watoto [...]

17/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031