Nyumbani » 12/11/2012 Entries posted on “Novemba 12th, 2012”

Baraza Kuu la UM lateua wajumbe wapya 18 wa Baraza la haki za binadamu

Kusikiliza / Susan Rice

Nchi 18 zimechaguliwa kuwa wajumbe wa Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kuanzia leo baada ya uchaguzi uliofanywa na Baraza Kuu la Umoja huo na ambapo utekelezaji wa majukumu utaanza rasmi tarehe Mosi Januari mwakani . Baraza hilo lenye wajumbe 47 liliundwa mwaka 2006 kwa lengo la kuimarisha uendelezaji na ulinzi wa [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Algeria ichukue hatua zaidi kuimarisha uchumi wake: IMF

Kusikiliza / ramani ya Algeria

Ujumbe wa Shirika la fedha duniani, IMF umehitimisha ziara yake ya wiki mbili nchini Algeria iliyohusisha mashauriano na mijadala kuhusu hali ya uchumi wa nchi hiyo ambapo imebainika kuwa jitihada zaidi zinahitajika ili kuimarisha uchumi wake. Mijadala hiyo ilijikita katika sera za muda mfupi, muda wa kati na za muda mrefu kwa kuzingatia mazingira ya [...]

12/11/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UM waomba dola milioni 39 zaidi kuisaidia serikali ya Haiti kukabiliana na athari za kimbunga Sandy

Kusikiliza / haiti-destruction-post-sandy-MINUSTAH

Naibu Mkuu wa ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, Catherine Bragg, leo amezindua ombi la dola milioni 39, kama marekebisho ya ombi la awali la ufadhili wa misaada ya dharura nchini Haiti, ili kukabiliana na athari za kimbunga Sandy. Fedha hizo zinahitajika ili kukabiliana na matatizo ya uhaba wa chakula, makazi, [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM waomba dola milioni 39 zaidi kuisaidia serikali ya Haiti kukabiliana na athari za kimbunga Sandy

Catherine Bragg

Naibu Mkuu wa ofisi ya kuratibu misaada ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, Catherine Bragg, leo amezindua ombi la dola milioni 39, kama marekebisho ya ombi la awali la ufadhili wa misaada ya dharura nchini Haiti, ili kukabiliana na athari za kimbunga Sandy. Fedha hizo zinahitajika ili kukabiliana na matatizo ya uhaba wa chakula, makazi, [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Katibu Mkuu ataka Syria na Israel ziepuke mzozo wa aina yoyote kwenye milima ya Golan

Kusikiliza / unpatrolgolan

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametaka pande zote kwenye mzozo wa milima ya Golan kujizuia kufanya mashambulizi wakati huu ambapo walinzi wa amani wa Umoja huo wanaendelea kusimamia mkataba wa mwaka 1974 wa kusitisha mapigano kati ya Israeli na Palestina. Ametoa wito huo kufuatia taarifa kuwa mapigano kati ya majeshi ya Syria [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa IAEA atembelea Iraq

Kusikiliza / Yukiya Amano

Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la linalohusika na nguvu za atomiki Yukiya Amano amekutana na waziri Mkuu wa Iraq Nouri al-Maliki mjini Baghdad wakati wa ziara yake nchini humo ambayo imekusudia kutoa ujumbe wa pongezi kwa serikali ya nchi hiyo iliyoridhia itifaki ya nyongeza. Bwana Amano ameisifu serikali ya Baghdad juu ya hatua [...]

12/11/2012 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mtaalam wa UM kuchunguza hali za haki za binadamu Japan kufuatia tetemeko la ardhi 2011

Kusikiliza / Anand Grover

Mtaalam maalum wa Umoja wa Mataifa, Anand Grover, ataizuru Japan tokea Novemba 15 hadi 26 ili kufuatilia masuala yanayohusiana na haki ya kuwa na afya nzuri katika nchi hiyo, katika muktadha wa tetemeko la ardhi lililotokea mashariki mwa nchi hiyo mnamo Machi 2011. Katika taarifa, Bwana Grover amesema atazingatia uhusiano kati ya haki ya kuwa [...]

12/11/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkurugenzi Mkuu wa WHO ataka hatua zaidi kudhibiti matumizi ya Tumbaku

Kusikiliza / Margaret Chan

Mkutano wa tano wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa kudhibiti matumizi ya tumbaku umeanza huko Seoul, Korea Kusini ambapo Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya duniani, WHO Dkt. Margaret Chan amesifu jitihada za nchi hizo za kutekeleza mkataba huo licha ya changamoto zitokazo kwa wafanyabiashara wa tumbaku. Dkt. Chan ametaja changamoto hizo kuwa [...]

12/11/2012 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza Kuu la UM lakutana kuwachagua wanachama wa Baraza la Haki za Binadamu

Kusikiliza / Baraza la Haki za Binadamu

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, leo linafanya kikao maalum cha kuchagua nchi 18 zitakazokuwa wanachama wapya wa Baraza la haki za Binadamu, ili kuchukuwa nafasi ya zile ambazo muda wao umemalizika. Kulingana na kanuni za Baraza Kuu, Baraza la Haki za Binadamu linatakiwa kuwa na nchi 47 wanachama, ambazo huchaguliwa moja kwa moja kwa [...]

12/11/2012 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mavuno yaongezeka DPRK lakini bado lishe ni duni

Kusikiliza / mavuno nchini DPRK

Ripoti mpya ya tathmini ya uzalishaji wa chakula huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK iliyoandaliwa baada ya ziara ya maafisa wa Shirika la chakula duniani FAO na lile la mpango wa chakula WFP nchini humo imebaini kuwepo kwa lishe duni miongoni mwa wananchi wa nchi hiyo licha ya ongezeko la mavuno. Imebainika [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano kati ya majeshi ya Sudan na waasi huko Shangil Tobaya yakomeshwe: UNAMID

Kusikiliza / Mlinda amani wa UNAMID

  Kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa Darfur, UNAMID kimeeleza wasiwasi wake kuhusiana na kuendelea kwa mapigano kati ya vikosi vya jeshi la Sudan, SAF na kikundi cha waasi huko Shangil Tobaya na kutaka mapigano hayo yakomeshwe mara moja. Taarifa ya UNAMID imemkariri Kaimu mwakilishi maalum wa pamoja wa [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ugumu wa kupima unaongeza maambukizi ya numonia Jamhuri ya Afrika ya Kati: UNICEF

Kusikiliza / mtoto anayeugua numonia

Kampeni kabambe kupitia vyombo vya habari imezinduliwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati katika juhudi za kuongeza ufahamu kuhusu ugonjwa wa numonia, ambao unaongoza katika kusababisha vifo vya watoto chini ya miaka mitano. Kampeni hiyo ambayo imezinduliwa leo kwenye Siku ya Numonia Duniani na Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, likishirikiana na [...]

12/11/2012 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031