Tanzania yawa mwenyeji wa kongamano la utalii barani Afrika

Kusikiliza /

kongamano la utalii nchini Tanzania

Wataalamu wa masuala ya utalii barani afrika leo wanaanza kongamano la siku tano nchini Tanzania ambalo pamoja na mambo mengine linatazamiwa kujadilia usimamizi wa utalii endelevu katika hifadhi za taifa.

Kongamano hilo ambalo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na utalii limehudhuriwa na wajumbe zaidi ya 400 kutoka barani afrika na nje ya bara hilo. Kutoka DSM, Mwandishi wetu George Njogopa ameaandaa taarifa ifuatayo.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031