Pakistan yawa ya kwanza Asia kuanzisha chanjo ya Numonia: UM

Kusikiliza /

chanjo ya numonia

Pakistani kwa kushirikiana na UNICEF, WHO pamoja na ushirikiano wa kimataifa wa utoaji chanjo, GAVI imeanzisha chanjo mpya kwa ajili ya kuwakinga watoto dhidi ya ugonjwa wa Numonia, na hivyo kuwa nchi ya kwanza barani Asia kutoa chanjo hiyo.

Nchini Pakistani zaidi ya watoto Laki Tatu na Nusu hufariki dunia kabla ya kutimiza umri wa miaka mitano ambapo sababu ya kifo cha mtoto mmoja kati ya vifo vitano kwenye idadi hiyo ni ugonjwa wa Numonia. Marixie Mercado ni msemaji wa UNICEF.

(SAUTI YA MARIXIE MERCADO)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031