Mfumo wa maendelo wa UM ni lazima uzingatie ulimwengu unaobadilika: UM

Kusikiliza /

Jan Eliasson

Kamati moja kuu ya Umoja wa Mataifa imezindua ukaguzi mpya wa miaka minne wa shughuli za kimaendeleo za Umoja wa Mataifa kuambatana na mabadiliko yanayoendelea kushuhudiwa duniani. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson amesema kuwa mifumo ya maendeleo duniani imebadilika zikiwemo changamoto za maendeleo.

Eliasson amesema kuwa nchi zaidi zinautaka ulikwengu kufanya jitihada zaidi katika kutatua changamoto zilizopo zikwemo za kijamii, kiuchumi na za kimazimgira akiongeza kuwa karibu nusu ya nchi ambazo zinaorodheshwa kama zenye kipato cha wastani zilikuwa zikiorodheshwa kama nchi za kipato cha chini mwaka 1995. George Njogopa na taarifa kamili

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031