Leo ni siku ya watu wazee duniani

Kusikiliza /

wazee duniani

Leo ni siku ya kimataifa ya watu wazee ambapo shirika la afya duniani WHO limekaribisha mji wa Kolkata nchini India kuwa mmoja wa wanachama wake wa mtandao wa miji yenye mazingira bora kwa umri na kwa jamii. Kolkata ndio mji wa kwanza eneo la kusini na mashariki mwa Asia kuwa mwanachama wa WHO, miji mingine ikiwa ni New York, La plata nchini Argentina, Canberra na Geneva.

Mkurugenzi kwenye kitengo kinachohusika na masuasla ya umri kwenye WHO Dr. John Beard anasema kuwa watu wanazeeka kwa haraka kwenye ulimwengu wa sasa ni iwapo jamii zingehitaji kuendelea ni lazima zipate ujuzi wa watu wazee. Jason Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031