ITU yazindua tuzo ya aina yake ya kumvutia mtoto wa kike kusoma fani ya teknolojia

Kusikiliza /

mtoto msichana-teknolojia

Nalo shirika la Umoja wa Mataifa la mawasiliano, ITU, pamoja na washirika wake linazindua tuzo ya aina yake kwa ajili ya kushawishi mtoto wa kike kupenda teknolojia na kuwa mbunifu kwa ajili ya maisha ya baadaye.

ITU inasema asilimia 95 ya ajira zote zinahitaji fani ya teknolojia ya habari na mawasiliano na kwamba maisha ya usoni yanategemea zaidi teknolojia. Kutokana na hali hiyo, ITU imebaini kuwa idadi ya wanawake na watoto wa kike katika fani ya teknolojia inapungua siku hadi siku kwa kuwa wanaona fani hiyo haina mvuto, hivyo ni vyema kuwa na mpango wa kuwahamasisha, na ndiyo maana imeandaa tuzo hiyo. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031