Wito wa kuwashirikisha wanawake na wasichana kwenye matumizi ya programu za bure watolewa

Kusikiliza /

FOSS

Kitengo cha usawa wa kijinsia cha shirika la elimu sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO kwa sasa kiko mbioni kutafuta makundi yaliyo na progamu yanayochangia kuinua majukumu ya wanawake na uwakilishi wao kwenye progamu isiyo ya malipo ya FOSS.

Hata kama FOSS imebadili njia za kutayarishwa kwa programu , kusambazwa na kutumika matatizo mengi yanayohusiana na usawa wa kijinsia kwenye sekta za progamu yanajitokeza kwa FOSS. Kulingana na utafiti wa hivi majuzi wa FOSS wanawake hawachangii kwa njia inayohitajika na hawana uwezo wa kutoa maamuzi kwenye masuala ya maendeleo na pia kwenye matumizi ya FOSS.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Juni 2013
T N T K J M P
« mei    
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930