Watu wa asili watoa maoni yao kuhusu Siku ya Kimataifa Watu wa Kiasili
Kusikiliza /Siku ya watu wa asili huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Agosti. Jason Nyakundi wa Redio wa Umoja wa Mataifa amezungumza na watu wa asili mjini Nairobi na kuwauliza watoe maoni yao kuhusu siku hii. Wasikilize.