Muziki wa asili barani Afrika
Kusikiliza /Pamoja na msukumo mkubwa unaochagizwa na maendeleo katika sekta ya sayansi na teknolojia, lakini kwa kiwango kikubwa muziki wa asili barani Afrika unaendelea kusalia kwenye ramani ya juu, ukiwavutia watu wa rika zote.
Basi katika makala yetu George Njogopa anatupia jicho nafasi ya mziki huo, na akiangazia pia kongamano moja la kimataifa lililofanyika jijini Dar es Salaam ambalo lilikuwa na shabaha ya kuumulika muziki huo wa asili, Ungana naye
