Kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya utoaji Huduma za Kibinadamu

Kusikiliza /

siku ya utoaji huduma za Kibinadamu

Huku siku ya kimataifa ya utoaji wa huduma za kibinadamu ikisherehekewa tarehe 19 mwezi huu Umoja wa Mataifa umechukua hatua ya kutaka kufahamu maisha ya mtoaji huduma ni ya aina gani. Kunapotokea majanga kama vile mafuriko, mitetemeko ya ardhi au mikurupuko ya magonjwa watoa huduma za kibinadamu huonyesha ukakamavu mkubwa wanapoingia sehemu zilizoathirika na kuwahudumia wale walioathiriwa na majanga hayo. Mwandishi wetu wa Nairobi Jason Nyakundi ametuandalia makala kuhusu maisha na kujitolea kwa watoa huduma za kibinadamu kwenye kazi zao ngumu, Je kuna wakati wanahisi kuchoka na kukata tamaa? Ni changamoto zipi zinazowakabili?

amepata fursa ya kuzungumza na kanali mstaafu Nathan Kigotho kutoka kituo cha kitaifa cha kushughulikia majanga nchini Kenya yaani National Disaster Operations Center kutaka kuelewa zaidi kuhusu suala hili. Wasikilize.

MAHOJIANO NA KANALI KIGOTHO

Na sasa tunapata maoni kutoka kwa wanachi wa Tanzania , wanasemaje?

MAONI

Nao wananchi wa Burundi wana yapi ya kusema?

MAONI

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Julai 2014
T N T K J M P
« jun    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031