Hali eneo la Sahel yachochewa na Ugonjwa wa Kipindupindu

Kusikiliza /

ugojwa wa Kipindupindu katika eneo la Sahel

Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa mataifa UNICEF linasema kuwa ugonjwa kwa kipindupindu kwa sasa umeripotiwa kwenye eneo la sahel eneo ambalo watoto tayari wamedhoofishwa na ukosefu wa lishe na utapiamlo. Nchini Niger hali inaendelea kuchochewa na mavuno haba baada ya mimea kukumbwa na magonjwa.

Mwishoni mwa mwezi July watoto 161,000 walio chini ya miaka mitano walikuwa wameathiriwa na utapiamlo na sasa wamelazwa kwenye zaidi ya vituo 2000. Nchini Chad watoto 630 walio chini ya miaka mitano wamelazwa baada ya kuathiriwa na hali mbaya ya utapiamlo. Patrick McCormick ni msemaji wa UNICEF.

(SAUTI YA PATRICK MCCORMICK)

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031