WFP na washirika wake wajiandaa Kutoa Misaada ya Chakula nchini Zimbabwe

Kusikiliza /

watoto wa Zimbabwe

Ripoti mpya kuhusu mahitaji ya chakula nchini Zimbabwe inasema kuwa mmoja kati ya watu watano sehemu za vijijini nchini humo ambao ni karibu watu milioni 1.6 watahitaji msaada wa chakula msimu wa njaa unaokuja ikiwa ni asilimia 60 zaidi ya waliohitaji msaada kama huo msimu uliopita.

Hii ni kulingana na utafiti unaokadiria usalama wa chakula nchini Zimbabwe ambao unaondesha kila mwaka na serikali kwa ushirikiano na mashirika ya Umoja wa Mataifa na yale yasiyokuwa ya serikali. Mkurugenzi wa shirika la mpango wa chakula duniani nchini humo WFP Felix Bamezon anasema kuwa kwa sasa shirika hilo na washirika wengine wanajiandaa kuchukua hatua zinazohitajika

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Mei 2013
T N T K J M P
« apr    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031